Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

Codes

(1)Mke wako ni kama mfanyabiashara mwenzako,jinsi unavyoishi na watu unapbadilishana nao fedha kwa fedha au fedha kwa vitu ndivyo ilivyo kwa mke wako pia.

(2)Huyo ni Binadam_Uliwahi kudanganya,baada ya kudanganya moyo i mwako ulikuwa unahisi kitu gani.

(3)Mwanamke hapigwi mkuu,shida za dunia zimetupatia wanaume hasira zinazoweza kumsambaratisha k kwa muda mchacge sana,Hivyo ni vyema ijizuie na mihemko ya hasira.Labda makofi mawi matatu hivi.

(4)Mlishaanzisha familia?kama jobu ni ndiyo basi huo ni mzigo wako kwa muda.Kuwa kama bodaboda,ila wewe niupdate kidogo watoto wakue kue halafu MPELEKE NYUMBANI AKAPUMZIKE.Wazazi hata wawe na hekma vipi hawashindwi kumpoke mtoto mpumbavu na mwenye aibu.

(5)Endelea kuzingatia sababu ya wewe kuwa duniani.

(6)Usigombane na mwanaume mwenzako kisa mkeo,mtafute na umpe onyo kali lenye uhalisia na ni mara moja tu.Akirudia mpige hadi afe.

(7)Kwanzi ulikosa makabila ya kuoa hadi ukaenda SINGIDA,Simaanishi hawatakiwi kuolewa na ukizingatia wasingidani ni wazuri sana,isitoshe ni watamu🧁🧁🧁 ila kama wewe ni msingidani mwenzake,jikaze au waulize wazee watakupatia mwongozo….wanyumbani hamsindwani.

(8)PENDA KUMSHIRIKISHA MUNGU KWA KILA JAMBO.
 
Kama hua anakuwekea ugumu kukupa unyumba na kudai amechoka au kuumwa na dharau juu, ujue tiari kuku kanyonyolewa manyoya.

Mwite bodaboda umweke wazi pia na umpe onyo.
Pia mkeo.
 
Ni kheri wakuu....
Huwa sinaga tabia ya kushika simu ya mke wangu sasa juzi usku niliamua kuishika na kucheck check sms eeeeh nikakuta kuna sms 2 upande wa sent namba ikiwa imeseviwa X.
Moja ya sms hzo ilikuwa inasema HATA KAMA NIKIKWAMBIA NAKUPENDA ITAKUWA HAINA MAANA MIMI TAYARI NINA MJI WANGU NIMEOLEWA.

Nilipoona sms hiyo nikaamua ichukua namba hiyo na kuiandika kwenye simu yangu nilipoiandika nilishangaa inasoma jina la jiran yangu ni bodaboda ambaye aliishi na mwanamke kama mwaka 1 na nusu alipombebesha mimba akamtema ye akabaki single.
huo ujumbe ukiudadavua vizur utagundua kua huo ujumbe walikua wanachat wapenz wawil tena wana mda mfupi wa penz lao, na wamesha kutana kimwil.

hapo bodaboda au jiran alijaribu kumwulza mkeo kama anampenda, na mkeo akaona haina haja ya kumwambia anampenda kwan yey ni mke wa mtu.
 
Ukiona mkeo anatembea na mtu mwingine kosa ni la huyo mtu wako ambaye anajua ana wewe halafu anakubali mtu mwingine. Kwahiyo nimuhimu kudili na mtu wako.
 
Tayari kashaliwa.
Alafu haya mambo yanafanya niache kuwaza mambo ya kuoa aiseee..

Nimefatilia sana mpaka nawaza au sisi wanaume tukioa tunajisahau sana au ni hulka ya mtu tu kutaka kubadilisha mazingira mapya.

Kuna mmoja hivo hivo yaani ana mtu wake wapo kwa mahusiano mwaka wa kumi sasa huu alafu kirahisi rahisi anagawa tunda tu...

Na inafikia kipindi mpaka anasema kwa sasa hana hisia na yule mtu wake.
Najiuliza sasa huyu mpaka wanafikia hatua ya kuoana ilikuaje maana navowaza ishu ya mpaka watu kufikia kuoana ni hatua kubwa ya upendo...

Naogopa wakuu nahisi nikioa tu huyu mtu watamchakaza vibaya mno aiseeee.
 
INATAFAKALI[/QUOTE]INATAFAKALISHA.
ila kila mtu anakashetan kake maalum kameandaliwa kwa ajir yake kakuja kumpa stress na hakuna ku escape.

itabid kuingia tu liwalo na liwe, kikubwa kuachana kwa aman kama mk
 
Back
Top Bottom