Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

Kashachapwa sababu.

1. Anaitwa X
2. Kwenye Sms inaonekana ni watu ambao walikuwa/wako na mahusiano.
Inaonekana ni kama demu anasitasita kuendelea, boda anambembeleza.
Anamuuliza mkeo kama anampenda.
Ndio maaana kamjibu hiyo sms.
3.mwanamke akikuambia haya maneno " kanitongoza ila sijamkubalia"
Mara nyingi kashapigwa.

HItimisho
Kama utamfuata bodaboda hakikisha hautoi vitisho ambavyo huwezi kuvitimiza.
 
Aaah mtoto wa Singida, Manyara na Dodoma..ubahatike sana mkuu. Pole sana!
 
kaka huyo mkeo inaonekana yeye ndo-kampenda boda
chakufanya mtafute boda kiume mchane ukweli tofaut nahivyo utakufa natai shingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…