Nimekutana na aliyewahi kuwa boss wangu katika interview za shirika la umma

Nimekutana na aliyewahi kuwa boss wangu katika interview za shirika la umma

Sio Langai ni Landanai inaonekana hata huko kulima haujui. Landanai inatokana na ule mlima Landanai.
Wewe mjuaji sana sio? Baki hapo hapo basi.

Kwahiyo wewe kwasababu unapajua Landanai na hupajui Langai basi unaleta ujuaji?

Hebu niambie ukitoka Landanai kama unelekea Orkei kabla ya Orkei unapita wapi kwanza?
 
huyu atakua sio engineer ni wale vijana wa veta wanatembeaga na yale magari ya emergency kazi zao kukata matawi ya miti na kuregebisha faults ndogo ndogo
"Boss wangu yule ndie aliyenifanyia figusu kazini hadi kuondolewa kazini, ilikuwa ni kampuni kubwa ya mikopo kipindi hicho 2012.

Aliweza kutumia ugeni wangu ktk Kazi kwa kujichukulia mikopo kiujanjajanja na kupelekea watu wengi kufukuzwa kazi na yeye kuendelea kuwepo."

ALIVYOSEMA ALIKUWA KWENYE KAMPUNI KUBWA YA MIKOPO NIKAJUA NI MUHASIBU KUMBE NI ENGINEER AISEEE.
 
Jifunze kitu hapo MKUU.. siku na wewe ukiwa juu usije kumnyanyasa au kumchukulia poa mtu aliye chini kwa wakati huo.. please
 
It's good kama haukumuonesha kinyongo na kumsaidia alipohitaji msaada kwenye hiyo interview..maisha ni mzunguko ipo siku atakushika mkono tena
Nakushukuru mkuu mm sijamuonesha hila niliona kapigika kweli kweli
 
"Boss wangu yule ndie aliyenifanyia figusu kazini hadi kuondolewa kazini, ilikuwa ni kampuni kubwa ya mikopo kipindi hicho 2012.

Aliweza kutumia ugeni wangu ktk Kazi kwa kujichukulia mikopo kiujanjajanja na kupelekea watu wengi kufukuzwa kazi na yeye kuendelea kuwepo."

ALIVYOSEMA ALIKUWA KWENYE KAMPUNI KUBWA YA MIKOPO NIKAJUA NI MUHASIBU KUMBE NI ENGINEER AISEEE.
fundi umeme na kubadilisha bulb zikiungua
 
Back
Top Bottom