Nimekutana na binti maarufu wa jamiiforums asubuhi ya leo kwenye daladala

Hivi kuna wana JF wanapanda daladala? manaana najua kila mwana JF ana Big house, ownride, kazi nzuri nk.

ndo leo nasikia mwana jF anapanda daladala [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hee tupo wengi tu, mimi hadi huwa natembea kwa miguu nikikosa jero la nauli
 
Hivi kuna wana JF wanapanda daladala? manaana najua kila mwana JF ana Big house, ownride, kazi nzuri nk.

ndo leo nasikia mwana jF anapanda daladala [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah, mimi ndo mwanajf wa ovyo sana, humu hapanistahili kwa kweli:
• Nimekimbia mke, Mwa J sababu ya vigodoro
• Nakaa uswahilini
• Napanda guta
• Still kibamia, goli lenyewe tako mbili
Dah[emoji29]
 
Hivi kuna wana JF wanapanda daladala? manaana najua kila mwana JF ana Big house, ownride, kazi nzuri nk.

ndo leo nasikia mwana jF anapanda daladala [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
šŸ˜šŸ˜šŸ˜mbona mimi ninapanda hadi baskeli ndugu…

Habari ya siku lakini
 
Back
Top Bottom