Unafuatiliwa kwa ukaribu mno huo uziHatari sana, uzi unapepea tu uko page ya 10,000 sahivi😂
Uzi unapaa mno😂Unafuatiliwa kwa ukaribu mno huo uzi
Kwa kasi ya 6GUzi unapaa mno😂
🤣Jesus🤣🤣🤣🤣
Hee tupo wengi tu, mimi hadi huwa natembea kwa miguu nikikosa jero la nauliHivi kuna wana JF wanapanda daladala? manaana najua kila mwana JF ana Big house, ownride, kazi nzuri nk.
ndo leo nasikia mwana jF anapanda daladala [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah, mimi ndo mwanajf wa ovyo sana, humu hapanistahili kwa kweli:Hivi kuna wana JF wanapanda daladala? manaana najua kila mwana JF ana Big house, ownride, kazi nzuri nk.
ndo leo nasikia mwana jF anapanda daladala [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😝😝😝mbona mimi ninapanda hadi baskeli ndugu…Hivi kuna wana JF wanapanda daladala? manaana najua kila mwana JF ana Big house, ownride, kazi nzuri nk.
ndo leo nasikia mwana jF anapanda daladala [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee [emoji29]Wew muongo muongo sana hpn let me igore your post
WvuuJukwaa la watoto....
HahahaJukwaa la watoto....
Kama kwenye basi ndo hivi, je ukimpata si utataja na jina, umewaka ndege ameshapeperuka😁😁