Kijichi waandamane wajitenge na mbagala[emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila kijichi pako vizuri lakini upande kanisa la RC
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna dharau nyiee khaaah.Mbagala hata bure sikai bora nikae kibaha au mlandizi
😂😂😂😂Wezi mkuu
Hivi Mikwambe,Vikunai na Toangoma sio Mbagala ile?Hajui huyo ana angalia barabarani, kijichi kupo vizuri sana kuna viwanja mpaka bilion hutaki nenda bagamoyo
Ila aliyegundua hayo madera!tutamkuta mbinguni siti za mbele kabisa... Dar Nzima wanawake wameyavaaWanapenda kuvaa madera
Itakuwa mbagala ujue vikunai si mbali hata kwa miguu unafikaHivi Mikwambe,Vikunai na Toangoma sio Mbagala ile?
Mbadilishe location awe demu wa Mbezi Beach, Masaki, survey au Mikocheni, simple jitutumue mbaba mchukulie apartment hayo maeneo uyapendayo!!!😂😂😂mbezi beach, masaki, survey, mikocheni
Kijichi sio Mbagala kaka.Kuna mbagala kijichi dogo..ebu muulize tena mbagala ipi?
#MaendeleoHayanaChama
Jimbo la mbagala lakini...so ni mbagala tu hiyo.Kijichi sio Mbagala kaka.
Hii ni Mtoni Kijichi.
Na pia Mtoni ni kata kama kata nyingine tu na tuna mpango wa kuungana na Mtoni kwa Aziz Ally [emoji2957]
Mtoni KijichiKuna mbagala kijichi dogo..ebu muulize tena mbagala ipi?
#MaendeleoHayanaChama
Tanzania nzimaIla aliyegundua hayo madera!tutamkuta mbinguni siti za mbele kabisa... Dar Nzima wanawake wameyavaa
Yote mbagalaHivi Mikwambe,Vikunai na Toangoma sio Mbagala ile?
Kuna Mbagala kijichi ni zaidi ya Mbezi BeachNdugu zangu mambo vipi.
Kitambo kidogo ila nigga nipo na hustle zinaendelea kama kawaida sasa katika pitapita zangu nilikutana na hii pisi asee ina trakoooo hatari afu nyeupe huu ndo ugonjwa wangu.
Kama kawaida nikaomba namba freshy zikapita kama siku2 sasa jana nikaikumbuka nikaipandia kwa air. Tukapigq story sana sana yani kwa muda mchache tulishatengeneza chemistry nzuri sana.
Nilimwuliza unaishi wapi jibu lake ndo liliniacha hoi ikabid nivute pumzi kwanza. Alinambia naishi mbagala yaani daah hapa ndo mzuka ulikata ghafula. Nilitegemea yule mrembo angenambia anakaa mbezi beach, masaki, survey, mikocheni kutokana na alivo. Yaani pisi za huko sijui magomeni, kigogo sijui tandika yaani daah huwa siwaelewi kabisa.
Amenitext leo asbh hata sijajibu kwakweli mnaotoka na pisi za hayo maeneo nipeni experience zenu.
Kabisaaa yaan lolMbadilishe location awe demu wa Mbezi Beach, Masaki, survey au Mikocheni, simple jitutumue mbaba mchukulie apartment hayo maeneo uyapendayo!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huyu anasema hawezi date wadada wa Mbagala jamani?Yote mbagala