Nimekutana na binti mrembo sikutegemea awe anakaa Mbagala

Nimekutana na binti mrembo sikutegemea awe anakaa Mbagala

Kuna mbagala kijichi dogo..ebu muulize tena mbagala ipi?

#MaendeleoHayanaChama
Kijichi sio Mbagala kaka.
Hii ni Mtoni Kijichi.
Na pia Mtoni ni kata kama kata nyingine tu na tuna mpango wa kuungana na Mtoni kwa Aziz Ally [emoji2957]
 
We ni mkaidi sana aisee
Kwa hyo na Mtoni kwa Aziz Ally pia ni Mbagala au?
 
Ndugu zangu mambo vipi.

Kitambo kidogo ila nigga nipo na hustle zinaendelea kama kawaida sasa katika pitapita zangu nilikutana na hii pisi asee ina trakoooo hatari afu nyeupe huu ndo ugonjwa wangu.

Kama kawaida nikaomba namba freshy zikapita kama siku2 sasa jana nikaikumbuka nikaipandia kwa air. Tukapigq story sana sana yani kwa muda mchache tulishatengeneza chemistry nzuri sana.

Nilimwuliza unaishi wapi jibu lake ndo liliniacha hoi ikabid nivute pumzi kwanza. Alinambia naishi mbagala yaani daah hapa ndo mzuka ulikata ghafula. Nilitegemea yule mrembo angenambia anakaa mbezi beach, masaki, survey, mikocheni kutokana na alivo. Yaani pisi za huko sijui magomeni, kigogo sijui tandika yaani daah huwa siwaelewi kabisa.

Amenitext leo asbh hata sijajibu kwakweli mnaotoka na pisi za hayo maeneo nipeni experience zenu.
Kuna Mbagala kijichi ni zaidi ya Mbezi Beach
 
Mbadilishe location awe demu wa Mbezi Beach, Masaki, survey au Mikocheni, simple jitutumue mbaba mchukulie apartment hayo maeneo uyapendayo!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaa yaan lol
 
Back
Top Bottom