hatari.... Hadi wasukuma wa bariadi πππTanzania nzima
washasema yote ni Mbagala
Ndiyo mkuuhatari.... Hadi wasukuma wa bariadi πππ
Waya ya temeke haifai kuishi binadamu
Aliyelala usimuamsheSasa huyu anasema hawezi date wadada wa Mbagala jamani?
Mbagala hata bure sikai bora nikae kibaha au mlandizi
Mleta Uzi inaoneka wewe ni mgeni Dslam....
Kuna Mbagala kijichi ni zaidi ya Mbezi Beach
Asante sana.Aliyelala usimuamshe
Acha kujiabisha BasiππKwa maeneo ya huko sawa coz hata kwenda hunipeleki siwez kwenda naenda mbagala kufanya nini[emoji28][emoji28]
Hujatembea baadhi ya maeneo baada ya mradi wa DMDP. Njoo kwetu Kijichi (extension ya Mbagala) uone kama huko kwenu Mbezi beach kunafua dafu. Maviwanja yetu makubwa mpaka unaweka hall la disco humo ndani, unapanda maua na kupata upepo mzuri usiyo na shaka.Mkuu kuna maeneo ukinambia unaishi kwa upande wa mwanamke kuna credit kwangu zinapotea kabisa
Dar anayoijua yeye ni ya mjini tu, haelewi kuwa mji umetanuka sana na huku nje ya mji ndiyo watu tunajimwambafy kwa uhakika.Mleta Uzi inaoneka wewe ni mgeni Dslam....
Siku hizi ni kata ya KijichiHivi Mikwambe,Vikunai na Toangoma sio Mbagala ile?
Huyu tumuelewe tu,huyu Ni mgeni kabisa halafu hataki kujifunza....Sasa sijui hata tunamsadiaje!Dar anayoijua yeye ni ya mjini tu, haelewi kuwa mji umetanuka sana na huku nje ya mji ndiyo watu tunajimwambafy kwa uhakika.
Niliskia Mbagala yatakiwa kuwa Wilaya,..sijui maandalizi yanaendeleajeSiku hizi ni kata ya Kijichi
Hivi kijichi unaweza ifananisha na maandazi road ya Msasani?Mbagala ni Mbagala tuu. Sawa sawa na Msasani,hata Msasani Mikoroshini nayo ni Msasani sawa na ile ya Cholo.
Hivi anaweza fananishamaandazi road ya Msasani na Kijichi? Kweli tumuelewe... Afu usikute huko anakojidai nako anakaa kwa shemeji yakeHuyu tumuelewe tu,huyu Ni mgeni kabisa halafu hataki kujifunza....Sasa sijui hata tunamsadiaje!
Kabisa bora nikae bagamoyo au kibaha nije mjini kila siki ila mbagala hata kwa bunduki hapanaMimi nilishasema mpaka wangu ni morogoro road ule upande wapili wa kuelekea sijui external, tabata sijui temeke, mbagala siwezi kaa hata bure