Nimekutana na binti mrembo sikutegemea awe anakaa Mbagala

Nimekutana na binti mrembo sikutegemea awe anakaa Mbagala

Mkuu kuna maeneo ukinambia unaishi kwa upande wa mwanamke kuna credit kwangu zinapotea kabisa
Hujatembea baadhi ya maeneo baada ya mradi wa DMDP. Njoo kwetu Kijichi (extension ya Mbagala) uone kama huko kwenu Mbezi beach kunafua dafu. Maviwanja yetu makubwa mpaka unaweka hall la disco humo ndani, unapanda maua na kupata upepo mzuri usiyo na shaka.
Mbezi beach vurugu tupu ijapokuwa sifa ndiyo kubwa.
 
Dar anayoijua yeye ni ya mjini tu, haelewi kuwa mji umetanuka sana na huku nje ya mji ndiyo watu tunajimwambafy kwa uhakika.
Huyu tumuelewe tu,huyu Ni mgeni kabisa halafu hataki kujifunza....Sasa sijui hata tunamsadiaje!
 
Mimi nilishasema mpaka wangu ni morogoro road ule upande wapili wa kuelekea sijui external, tabata sijui temeke, mbagala siwezi kaa hata bure
Kabisa bora nikae bagamoyo au kibaha nije mjini kila siki ila mbagala hata kwa bunduki hapana
 
Back
Top Bottom