Nimekutana na binti mrembo sikutegemea awe anakaa Mbagala

Proud Mbagala Zackiem's resident, kama kuishi masaki na mbezi beach kunaongeza mvuto wa papuchi sawa, sisi tunajivunia mbagala yetu, kugombania daladala na kuingilia madirishani raha[emoji23]
Haswaaaah yaan full udambwi udambwi yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wambagialaaa

Sukari hadi ya shilingi 100 unapata nasikiaga [emoji3][emoji3]
 
Mimi nilishasema mpaka wangu ni morogoro road ule upande wapili wa kuelekea sijui external, tabata sijui temeke, mbagala siwezi kaa hata bure
Pumba..Voo!

Tabata unyamwezini usifananishe na Mbagala kabisa. Nahisi hujawahi fika Tabata wewe. Maeneo mengi yalipimwa kwahio nyumba ziko kwenye blocks kama uzunguni tu!

Uswahilini kushaisha sikuhizi hamna wazaramo kabisa kama ilivyokuwa miaka ya 90 ile.
 
Iyo Ghafula itakuwa unaishi yombo wew[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna mambwiga washamba sana.
Kukaa mbagala ni tatizo?
Kwani mbususu inaweka google map ya Mbagala?
Nyie ndo vile vijanaume vivaa kaputula tu,
jembe halichagui mkulima.
Wenzio tushagonga Mbagala mpk Masaki,mbezi kituo kwa kituo huko mpk tunastaafu we unatafta mtu anatoka wapi kwani unatafuta kazi?
Bwege sana
 

Tbt ipo vzr
 

Sasa tumeanza kupangiana?
 
Watu wa daslam na nyie mnabaguana?si mpo jijini wote?

Ila sishangai maana wengi mnapenda kujiweka class flani za juu juu,ila ukija kwenye real life hamna kitu
 
Tutake radhi tafadhali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…