Nimekutana na Demu wa Kiarabu Toronto. Amenifundisha jambo la ajabu sana

Muoe sasa
 
Pro Israel mna akili mbovu sana. Unakuja kujisifia kumgeuza mwanamke? Nilidhani amekufundisha fursa za biashara uarabuni au Canada kumbe kufukua tope? Duh
 
Toronto ni TABORA. Hiyo hoteli ndio sijapajua...

Unakula mtaro mzee... kazi na dawa sio?
 
Sasa mbona sijaona jambo la ajabu alilokufundisha na ukafundishika hapo.. Embu nenda moja kwa moja, amekufundisha nini hilo jimama la kiarabušŸ˜Ž
Mbona amesema kuwa amefundishwa kwenda kule halafu anajifanya eti sio kuzuri wakati anenda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…