Nimekutana na Demu wa Kiarabu Toronto. Amenifundisha jambo la ajabu sana

Imekaa vzr mno. Kuhusu jogina.umefaidi
Kazi ni kipimo cha utu
 
Fuata maisha yako Mzee acha kunifuatilia kuanzia Leo , hili ni onyo nakupa wewe Mzee
Umesikia necta wamefutia watahiniwa kwasababu ya AI. Pigo kubwa kwako ulikuwa unategemea AI kwenye pepa lako la 4 October. Maarass
 
Fuata maisha yako Mzee acha kunifuatilia kuanzia Leo , hili ni onyo nakupa wewe Mzee
Ila dah unasema kweli uzee unanisogelea nimeshaona kamvi pembeni kichwani. Juzi kati nilituma maombi ya kuendesha basi wanataka under 35
 
Umesikia necta wamefutia watahiniwa kwasababu ya AI. Pigo kubwa kwako ulikuwa unategemea AI kwenye pepa lako la 4 October. Maarass
Mimi nishamaliza chuo nina degree sasa , hayo mambo hayanihusu . Acha kuniTag na kuniQuote , ngoja nikuweke ignored list now nisione upuuzi wako
 
Ila dah unasema kweli uzee unanisogelea nimeshaona kamvi pembeni kichwani. Juzi kati nilituma maombi ya kuendesha basi wanataka under 35
Na hauna mtoto hata wa kusingiziwa umri huo ? poor you Dujeumsaengmita
 
Mhhh
 
Ishu za kupima UKIMWI huko hazipo au na wenyewe hawaogopi UKIMWI kama bongo?
 
Hko kwengine ndio poa sana. Pia kuna bana hatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…