ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Yuko wapi?Aisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
Lindi.ana watoto wa3 anatembea nao age 10-16 huenda NI kigogo pia kuna 88 south zoneYuko wapi?
Nakuja mkuu hadi hapo boda ni buku tuLindi.ana watoto wa3 anatembea nao age 10-16 huenda NI kigogo pia kuna 88 south zone
Me ameishia kuninunulia safari yebleo hanywi ana dawa za jinonila kaonja grand Malta mixing 7up.kaonja kidogo Tu hio recipe kaiachaYuko wapi?
Unaamini hilonilijua ndege john una ufahamu kumbe hakuna kitu hadi umri huo unaibiwa nafsi yako huoni rudisha hela ya Watu
Kachanganyikiwa huyoooAisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
Mkuu hayo maswali unayotuuliza sisi ungemuuliza huyo muhusika kwa kuwa ulikuwa naye karibu ingependeza zaidiAisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
Mbamizwa Tukuyu 🥹💔
Katumeni mbamizwa.....Mbamizwa Tukuyu 🥹💔
Exactly 💯No free lunch in this entity