Nimekutana na jamaa anagawa hela hata bila kumuomba

Nimekutana na jamaa anagawa hela hata bila kumuomba

Pokea hiyo ni swadaka, japokuwa kakosea kuitolea kwenye bar,angeenda hata masokoni,stand,hospitalini nk, ingekuwa vizuri zaidi.
 
hao ni wanasiasa vibaka wameanza yao wakishapita na kuwa viongozi wanajilipa
 
Unapigwa pipu si muda jina lako utajiita bed yohana.
 
Aisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
Anatimiza masharti ya mganga
 
Back
Top Bottom