wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,460
- 2,278
Anatupiga changa la macho etiUnaamini hilo
Anatupiga changa la macho etiUnaamini hilo
Kuna mganda Fulani hivi ana tabia hii sijui Huwa anamaanIsha niniAisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
Ni sawa na waumini kuwachangia utajiri wachungaji wao kwa njia ya sadaka, huku wao wakiwa na maisha ya tabu.Kuna mganda Fulani hivi ana tabia hii sijui Huwa anamaanIsha nini
Njoo huku boda jero au ntalipa ukifika...Nakuja mkuu hadi hapo boda ni buku tu
Kapewe pesa hizo
Baada ya kupokea vya bure mbamizwa kobaa ndo anaachiliwaKapewe pesa hizo
Hapana sio mwanasiasa kwanza no mgeni katoka dar sio mwongeaji Sanahao ni wanasiasa vibaka wameanza yao wakishapita na kuwa viongozi wanajilipa
Anatimiza masharti ya mgangaAisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.