Nimekutana na jini Kariakoo sokoni

Nimekutana na jini Kariakoo sokoni

Haliwezi maombi hapa yamelala rafiki, hapa kuna nguvu za Mungu sio majini.
 
Uliamuaje ulichoona ni jini. Inaonekana maelezo yako ni kulinga na stori ulizosikia zamani. Maana kuna watu wanazaa viumbe wa ajabu lakini hawaviiti majini. Sasa wewe una conclude ni jini kwa vipi
 
Kuna maelezo kuwa malaika ni mfano wa ndege labda njiwa. Sasa akimwona ndege wa ajabu kidogo si ajabu akamwita malaika
 
Yaani wewe ni jasiri uliweza kumwangalia jini vitu vyote hivyo
 
kabla sijafungua hii thread nilijua tu kuwa atakua "k4 real".
 
Wakuu leo asubuhi nimekutana na mwanamke kavaa baibui jeusi, cha ajabu ana jino moja, hana ulimi, miguuni ana kwato kama ngombe,alikua kabeba kikapu kilichojaa vichwa vya BUNDI.

Nimeogopa sana. SHIKAMOOO JIIINI
Katika ubora wako
 
Back
Top Bottom