Sio kwa mfumo huo unaoongea, hizo fix
naona ushapata mshahara, full shangwe
mkuu jini ukilipiga picha haitokei
usiongopee watu: Ukimpiga picha kinaonekana kivuli chake. Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza
mkuu nilimuangalia kwa umakini ndo nikagundua ana hivyo vitu
Katika ubora wakoWakuu leo asubuhi nimekutana na mwanamke kavaa baibui jeusi, cha ajabu ana jino moja, hana ulimi, miguuni ana kwato kama ngombe,alikua kabeba kikapu kilichojaa vichwa vya BUNDI.
Nimeogopa sana. SHIKAMOOO JIIINI