nimekutana na jini, muda huu

nimekutana na jini, muda huu

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
wakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua kashika simu smartfone galaxy, wakuu imebidi nirudi ruaha mbuyuni kulala mpaka kesho nitaanza safari upya.SALA ZENU WAKUU
 
Ulikuwa na usingizi bro, vizuri kupumzika
 
Pole sana mkuu.

Yametoka shimoni hayo yamekuja kusheherekea sikukuu na wabanjukaji wa duniani msimu huu wa sikukuu
 
Uko vizuri Mkuu kwa story, mmesalimiana ukagundua ana smartphone tena Galaxy? Basi hayo ya Mikumi balaaa. Kapumzike viroba viishe kichwani
wakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua kashika simu smartfone galaxy, wakuu imebidi nirudi ruaha mbuyuni kulala mpaka kesho nitaanza safari upya.SALA ZENU WAKUU
 
Mkuu hapo umetudanganya. Yaani utoke Mikumi mbugani hadi Ruaha Mbuyuni Kulala! Kwani ulishindwa kulala hapo Mikumi town au pale kwenye Junction ya kwenda Kilombero?
 
wakuu muda nipo maeneo ya mikumi naenda dar, ila nilipofika katikati ya mbuga nilikutana na kiumbe cha ajabu yaani ni twiga mwenye kichwa cha binadamu, ana jicho moja, ana miguu ya simba na alikua kashika simu smartfone galaxy, wakuu imebidi nirudi ruaha mbuyuni kulala mpaka kesho nitaanza safari upya.SALA ZENU WAKUU
Ulivuta cha wapi mkuu. Kitakuwa cha kigoma
 
Back
Top Bottom