Nimekutana na Lara1 leo

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Kwanza niseme kwamba nimevamia kambi ambayo mimi si mpenzi kuandika hoja labda kusoma tu.
Lakini leo mchana nimesafari na binti mmoja katika gari moja la binafsi, baada ya kuwapatia lifti akiwa na kaka mmoja. Walikuwa na chupa 2 za Konyagi kubwa, maji chupa mbili kubwa.

Mjadala katika gari ikawa mahusiano, yule binti hakika aliyokuwa akisema hakika ni sawa kwa asiimia 100 na hoja za lara 1 wa JamiiForums.

Huyu dada alivyokuwa amevaa, anaongelea saloon, kucha zake, tabia ya wanaume na mwanaume anavyotaka kuwa, akiongelea mijadala ya Jamii Forums n.k. Hakika ndiye huyu.

Kama siye aje hapa akanushe lara 1.

Alisema anaelekea katika Birthday ya rafiki yake, lakini katika maelezo yake amesema ana mume, na nyumbani mumewe ndiye hupika na humpatia offer ya kwenda disco kujirusha, na mambo mengine nisiyoweza andika hapa. Kama siyo, basi kumbe anayoandika huyo dada yapo kwa kiasi kikubwa.

Naahaidi kutorejea Jukwaa lenu hili, narejea kule kwenye Siasa zetu sisi.
 
Usiombe ukutane nae kwanza hapandagi gar za lifti kwa mtuasie mjua huyo sie lara 1
 
Last edited by a moderator:
Rudi bana huku raha tupu siasa zitakuzeesha bureee, wakati hapa mjini hakuna wazee. Rudi ujibu maswali.
 
MWANAKA
Sio mie,the devil is not so black as she is painted.
 
Last edited by a moderator:
Malalika
Nashukuru mwaya! bora uwe unanipenda hivyo hivyo manake watu humu wananichukia bila sababu.
 
Last edited by a moderator:
lara
Nilitaka nishangae umefulia kiasi cha kuomba lifti lol kidding.
 
Last edited by a moderator:
lara
lara 1 nioneshe anayekuchukia, nahisi huyo atakuwa ana matatizo yake. Sio siri lara 1 ni kati ya members kadhaa naowazimikia sana humu Jamii Forums. Japokuwa wapo wengi naowazimia na kuheshimu style zao.leo nimeamua kukutaja wewe.Jamaa alivyosema huyo mdada walikuwa wamebeba mizinga miwili ya Konyagi mikubwa nikajua sio wewe.
 
Last edited by a moderator:
Shy land
Shy land mkeo karudi? Au sio wewe?
 
Last edited by a moderator:
Rayd
Kesi inaendelea mkuu, baba yake amegoma kabisa kumchukua mke wangu,anadai nilimuabisha mno kusema ametajirika nakupata kitambi kwa sababu ya mahari zangu.
 
Last edited by a moderator:
junior
Kumbe je simba akizidiwa anakula majani. Na mie nikikosa wine, nanywa kisichana je?:lol:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…