Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Kwanza niseme kwamba nimevamia kambi ambayo mimi si mpenzi kuandika hoja labda kusoma tu.
Lakini leo mchana nimesafari na binti mmoja katika gari moja la binafsi, baada ya kuwapatia lifti akiwa na kaka mmoja. Walikuwa na chupa 2 za Konyagi kubwa, maji chupa mbili kubwa.
Mjadala katika gari ikawa mahusiano, yule binti hakika aliyokuwa akisema hakika ni sawa kwa asiimia 100 na hoja za lara 1 wa JamiiForums.
Huyu dada alivyokuwa amevaa, anaongelea saloon, kucha zake, tabia ya wanaume na mwanaume anavyotaka kuwa, akiongelea mijadala ya Jamii Forums n.k. Hakika ndiye huyu.
Kama siye aje hapa akanushe lara 1.
Alisema anaelekea katika Birthday ya rafiki yake, lakini katika maelezo yake amesema ana mume, na nyumbani mumewe ndiye hupika na humpatia offer ya kwenda disco kujirusha, na mambo mengine nisiyoweza andika hapa. Kama siyo, basi kumbe anayoandika huyo dada yapo kwa kiasi kikubwa.
Naahaidi kutorejea Jukwaa lenu hili, narejea kule kwenye Siasa zetu sisi.