Nimekutana na mama kwenye daladala anatumia JamiiForums

Status
Not open for further replies.
Uzi wa kindest huu, using wa JF ni IDs sio matumizi mimi huficha IDs yangu ila sio matumizi mimi kila mtu wangu wa karibu anayijua JF anajua natumia JF.

Pia kuna watu hata hizo IDs sio siri kwao, kuna jamaa yangu yupo humu alinitajia jina la ID yake na mpaka Leo naona anatumia humu, kuna jamaa jina la ID yake ndio alikuwa anatumia WhatsApp.
 
Lakini pia inawezekana anatumia huu mtandao kwa kusoma tu taarifa na si member wa JF.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…