Nimekutana na mchepuko wa ajabu,usiponikanda makalio hununa

Nimekutana na mchepuko wa ajabu,usiponikanda makalio hununa

Yaani unalala kabisa, unakandwa tako.. Unataka tako laini la kupeleka wapi!? Aisee hatua moja ya kuwa bwabwa ni kuchezewa tako..
 
Utakua unantako kubwa na zuri kuliko yeye, analipenda sana so inamlazimu kulishika shika lako anaona raha
 
Mkuu hebu rudi kundini kibamia chako bado kinamatumizi usikubali kuhamishiwa team kaoge
 
Siku hizi JF kuna wanaume wa kuchunguzwa ....wengine wanajipa promo
 
Yaani dume nzima nalazimika nilale kifudifudi ili yeye akande makalio yangu kwa maji ya uvuguvugu,jaman hii haki kweli?
Tunakoelekea si atakanda mpaka pu.m.Au ndio mahaba ya mwambao yalivyo
Mleta mada nadhani kuna kitu umeshafanyiwa zaidi kukandwa makalio na inaonekana unafurahia ila unataka kufahamu watu wanakuchukuliaje kwenye jamii

Kwa kifupi huo ni usodoma na ugomora chukizo kuu la Mungu
 
mwambie muwe mnakandana otherwise utapigwa d...
 
Yaani dume nzima nalazimika nilale kifudifudi ili yeye akande makalio yangu kwa maji ya uvuguvugu,jaman hii haki kweli?
Tunakoelekea si atakanda mpaka pu.m.Au ndio mahaba ya mwambao yalivyo
Kuwa makini mkuu siku akipisha kidode sina hakika kama utatueleza .....
Sio kila jambo la kuweka wazi
 
Endelea kukandwa tuu hivyo hivyo,.usirudi hapa kusema una upungufu wa nguvu zenu.
 
Yaani dume nzima nalazimika nilale kifudifudi ili yeye akande makalio yangu kwa maji ya uvuguvugu,jaman hii haki kweli?
Tunakoelekea si atakanda mpaka pu.m.Au ndio mahaba ya mwambao yalivyo
anakuanzishia Dozi
 
Ukimuageshea akukande kande ni kwamba unapenda huo mchezo....

Cc: @mamhondaw
 
Sasa ukitaka kujua hatari yake, mwambie mkeo akukande makalio.
Siku hiyo hiyo atadai talaka taarifa zitafika kwa mshenga, nyumbani kwenu zitafika utasikia kilio mji nzima.kila anayeuliza kuna nn? Akijibiwa kiliooo
 
Back
Top Bottom