Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
- Thread starter
-
- #21
heri ya kuuona mwaka
Zipo sana hasa Tanga Zanzibar Bagamoyo lakini kiuhalisia kuna asilimia ndogo ya ukweliAa kumbe ni story za pwani huh. Mimi nilisimuliwa na bi mkubwa wangu, zamani kidogo nakumbuka nilikuwa mdogo sana, nilikuwa na miaka 8 au 9 hivi.
mpe poleTehe tehe tehe huyu Jamaa kauona mwaka vibaya sana!
Tehe tehe tehe ulitaka afanye nini vile?
Asingekimbia!!!!,wewe una utani na hayo majitu nini??!!.Mambo hayo kweli yapo anyway asingekimbia
lini mkuu???.Hii story ya longi sana.
Nikiwa mdogo sana kipindi hicho tulikuwa tunapewa story hii.lini mkuu???.