Nimekutana na mtu mwenye miguu ya kwato za ng'ombe kama hii

Nimekutana na mtu mwenye miguu ya kwato za ng'ombe kama hii

Aa kumbe ni story za pwani huh. Mimi nilisimuliwa na bi mkubwa wangu, zamani kidogo nakumbuka nilikuwa mdogo sana, nilikuwa na miaka 8 au 9 hivi.
Zipo sana hasa Tanga Zanzibar Bagamoyo lakini kiuhalisia kuna asilimia ndogo ya ukweli
 
Hii story ndugu yangu mmoja alinidanganya eti ameota mtu mwenye kwato..kumbe kipindi cha zamani ilikuwa story ya mtaa..
 
lini mkuu???.
Nikiwa mdogo sana kipindi hicho tulikuwa tunapewa story hii.

Kuna ile story nyingine ya jamaa mmoja alikuwa na ka tabia ka kuchepuka chepuka.

Sasa one day ktk harakati zake akakutana na mrembo usiku & alimpeleka getho, jamaa akataka kwenda kuzima taa ili afanye yake; Yule mwanamke akamwambia, "usihangaike mpenzi" ... akaunyoosha mkono kutoka pale kitandani alipokaa mpaka kwenye switch huko mlangoni akazima taa.

Jamaa, akaamua kupita na mlango ... Mbioo.

Anyways, ni story tulikuwa tunapewa kututia ka sympathy fulani kwenye tabia zisizofaa.

Nk...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom