Nimekutana na mwalimu wangu kwenye basi

Ndaxy EMI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
526
Reaction score
319
Amani iwe kwenu wandugu

Leo nimekutana na mwalimu wangu aliyenfindisha somo LA kiingereza kidato cha pili na tatu.

Alikuwa mwalimu makini asiyetaka mchezo mchezo. Alikuwa mwalimu katili hasa muda wa chakula hadi akapata cheo cha kuwa mwalimu wa chukula.

Alikuwa anasurubu ipasavyoo hasa siku za wali kwa watu waliokuwa wanadouble share!

Nakumbuka form three nilikuwaga monitor darasa langu lilikuwa zamu kufanya usafi jikoni hatukuenda kufanya usafi na Mimi kama kiongozi wa darasa niliadhibiwa mbele ya parade kwa niaba ya darasa langu.

Alinipa funzo hapa kama kiongozi unatakiwa kutimiza wajibu na ukiahindwa lazima uadhibiwe.

Mwendokasi umenikutanisha na mwalimu wangu.

Mungu msaidie katika mihangaiko yake hapa mjini
 
Hongera kwa kukutana na mwalimu... Ni nadra sana kwa sisi tuliosomea mikoani kukutana na walimu wetu huku Jijini, kwa sababu wengi wanazeekea huko huko mikoani...
 
mwendokasi inatunyima fursa ya kuwalipia nauli walimu zetu tukikutana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata Mimi inaniuama sana hasa Leo ndo zaidi. Maana alikuwa anaongea kwa uchungu mwingi kana kwamba ana hasira mbayaa
 
Hongera kwa kukutana na mwalimu... Ni nadra sana kwa sisi tuliosomea mikoani kukutana na walimu wetu huku Jijini, kwa sababu wengi wanazeekea huko huko mikoani...
Kweli kabisa mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata Mimi inaniuama sana hasa Leo ndo zaidi. Maana alikuwa anaongea kwa uchungu mwingi kana kwamba ana hasira mbayaa

Ahahah ungemtoa chochote [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…