Ndaxy EMI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 526
- 319
Amani iwe kwenu wandugu
Leo nimekutana na mwalimu wangu aliyenfindisha somo LA kiingereza kidato cha pili na tatu.
Alikuwa mwalimu makini asiyetaka mchezo mchezo. Alikuwa mwalimu katili hasa muda wa chakula hadi akapata cheo cha kuwa mwalimu wa chukula.
Alikuwa anasurubu ipasavyoo hasa siku za wali kwa watu waliokuwa wanadouble share!
Nakumbuka form three nilikuwaga monitor darasa langu lilikuwa zamu kufanya usafi jikoni hatukuenda kufanya usafi na Mimi kama kiongozi wa darasa niliadhibiwa mbele ya parade kwa niaba ya darasa langu.
Alinipa funzo hapa kama kiongozi unatakiwa kutimiza wajibu na ukiahindwa lazima uadhibiwe.
Mwendokasi umenikutanisha na mwalimu wangu.
Mungu msaidie katika mihangaiko yake hapa mjini