shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,070
Arghh!Hizi avatar nyingine ni uchochezi tu!Haumuogopi huyo mchawi??watu mna moyo jamani...[emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arghh!Hizi avatar nyingine ni uchochezi tu!Haumuogopi huyo mchawi??watu mna moyo jamani...[emoji6]
hiyo ni sehemu ya shida pia. teh tehShida yako ni mgegedo tu?
Hahahaahah,unene ni tatizo kubwa watajihisi kutengwa lakin kiukweli ni mbayaaAsee mi juzi nilikuwa zangu kirai nikawa nimepanda daladala pale ubumgo inayoelekea mbezi nikawa nimesimama!! Kwa mle ndani tulikuwa wengi!!kufika baruti kuna lijamaa likapanda!!haki ya mungu lilikuwa bonge balaa hadi nikamwonea uruma!!sasa kufika korogwe kuna abiria walishuka mimi nikapata siti nikakaa gule bonge akawa amesimama!mi nikajisikia huruma nikaona nimpe tuu ile siti!! Nikamwambia broo njoo ukae hapa!!asee akanishukuru sana akakaa!!laa haula akatoa cm aina ya sony kubwa hivi mi nikawa namcheki tuu anavyohemea juu juu ikaingia j.f mi kiroho kikaanza kudunda jujuu nijue ni nani!! Asee bahati mbaya alikuwa ameshalog in lakini akawa anacoment tuu!asee nilitamani nijue yule ndo nani ila bahati mbaya asee!!!!
Wewe broo uliepanda daladala baruti kuelekea mbezi nikakupa siti pale korogwe juzi j.pili jioni mimi ndo wa stendi niliekupisha ukakaa!!
Ushauri wangu kwako!!! Mkuu kama na wewe uko humu nakushauri upunguze mwili huo kijana bado taifa tunakuhitaji!!!