Nimekutana na mwanajamiiforum

Nishakutana na watatu ila huyu mmoja ilikua historia aisee, tulikutana bila kupeana namba za simu yaan tulichat jf mpaka siku ya miadi tupo online tunawasiliana mpaka tukakutana was so funny,

Me nashangaa watu wanaoogopa kuonana na mtu wa mtandaoni kwa zama hizi za technolojia mbona kawaida sana.
 
Binasfi nishaonana na wangi sana, mpaka unakuja kukumbuka hee kumbe tumejuliana jf

Wateja wangu wazuri sana Wana JF, kwanza hawaliilii kupunguziwa bei nk
 
Hahahaahah,unene ni tatizo kubwa watajihisi kutengwa lakin kiukweli ni mbayaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…