DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 318
- 1,597
Leo natoka zangu taifa kucheg game ya simba na kaiza chifs, nkapanda gari la gongo la mboto nkadrop pale banana. Lengo nipande bajaji ya mbezi nifike fasta.
Ikaja bajaji ina abiria mmoja... pisi kali fulan. Tumeanza safari me nko busy na cm yangu nachek jf, akaanza kuniongelesha kwamba tukifika kinyerez nimwambie hapajui.
Nkawaza km hapajui si amwambie dereva? Ameniambia mm anataka attention tuu niongee nae.. basi nkaacha cm nkaanza piga nae story.
Akanambia anaenda harusini hapo kinyerezi... nkamuuliza sasa utarud vipi kwenu banana usiku. Akasema wale ndugu zake wenye harusi ndo kuna sehem atalala then atageuza asubuh..
Nkasema au nikusubiri then twende wote ukalale kwangu then asubuh urud kwenu.. kagoma goma mwisho akakubali... kwamba tushuke wote kinyerezi then me nikae baa hadi saa sita akapotoka harusini.
Kinyerezi tukaahuka akachukua pikipiki kuwahi sherehe. Tukaachiana namba atanicheki... so nitafute kijiwe nkae.
Moyon najua siwez enda nae home sababu nmeoa... so hapa nimechukua zangu bajaji ingine nasepa mbezi.. nachati nae hapa anajua namsubiri... sasa cjui nimwambie nini jamani fausta.
Simba ni underdog tuu... magoli yale huwez kosa kwenye champions league... idiots
Nasema uongo ndugu zangu?