Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Kijana mwenzangu kwanini uteseke na vitu ambavyo hujaomba. Kuwa serious kula bangi zako, then mwambie asikusumbue kwanza hujaomba akununulie hivyo vitu. Then wambie kama vp aje kuchukua hela zake asikuzingue[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Sattelite c1175b
 
We jamaa funguka tukuelewe vzr basi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyajui majini mahaba wewe, hata usipokua mtongozaji likishakupenda lazima likufatilie tu. Kiboko yake ni maombi ya kutosha hakuna kingine
na vijana wengi hawasaligi hamna namna yawaumize tu ndo mtamjua Mungu
 
The List hapana jamaniiii [emoji23][emoji23][emoji23] mwenzako ana matatizo
 
Tayari umefanikiwa kutudaka mkuu, sasa tuzungushe kama pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…