Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie amalize basi. Halafu mstue siku nyingine asilete story nusu nusu hapa
HahahhahaKwa shda nilioko nayo ya hela na Jinsi nilivyopagawa na haya maisha, naanza kulitamani hilo jini kabla story haijaisha
Mwambie amalize basi. Halafu mstue siku nyingine asilete story nusu nusu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naogopa.Na wanawake msivyo pendana hapo litakuhisi una mmendea jamaa lita anza na wewe.
Kila kitu kipo wazi ndugu yangu dunia ya sasa haina siri yoyote soma vitabu vya dini utajuaa kila kitu!!Mkuu vp utaratibu wa jini wewe umeujulia wapi kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malizia kabisa, unaweza usirudi moja kwa moja...
Naomba na wewe nitokee na mimi ujifanye jini mahaba, tuone kama nitaogopa..!!