Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

NIwajulishe tu msishange huyu bwana mwanzisha uzi hatunaye tena.Amechukuliwa baada ya kuleta habari JF.Bakuli la Rambi Rambi atashika Mshana Jr Mshanajr tunamzika kesho.R.I.P. Mleta mada.Usitangaze habari za majini
 
That jini must be very poor, na kukusumbua kote huko halijatumia hata TZS 500K. Tafuta jini Matawi mwana.
 
kuna wana magomeni ndo kazi yao mjini, wanakupa majini na wanakutoa wenyewe, ukisema pesa huna wanapokea ata tv, masofa au vyombo vya ndani kama malipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuwa muoga sana

Binafsi hii makitu ilinikuta nikiwa mdogo sana
Ila kitu kilichonisaidia ni kupuuzia
Na vikaja kuondoka vyenyewe

Weka mambo hadharani
Songa mbele na maisha yako

Yaani unavyotoa ushauri ni km unamshauri mtu mwenye HIV, unaliweka too psychological wakati limekaa kispritual
 
Leta hiyo story man tupate burdan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uliyoyaandika humu inaonesha ulikuwa schizophrenic! kuhisi unaongea na watu ambao hawapo!
Yeah, hata mimi nahisi hivyo mkuu... Huenda jamaa Alikuwa Schizophrenic kulingana na jinsi alivyo andika.

Moja ya sifa kubwa za Schizophrenia ni HALLUCINATIONS, na mara nyingi Sana ni AUDITORY HALLUCINATIONS.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…