Gwuap
JF-Expert Member
- Jan 8, 2018
- 249
- 232
kwahyo mchizi vp kashapiga show au bado wanabembelezanaWatu tuna subr part 4 we bado Upo Kwenye part 2[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahyo mchizi vp kashapiga show au bado wanabembelezanaWatu tuna subr part 4 we bado Upo Kwenye part 2[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi haijawai nitokea na tukikaaga vijiweni zikipigwa hizi story naonaga ni sukumia muda kipindi hicho ila ilivyokuja kumtokea mjomba ndio nikaanza kuamini maana ukoo wote ulijua bibi mbeya alipata taarifa kuwa mwanao kakutana na jini aliliwa kama kafa ndugu wote wa dar tulikwenda kujazana bunju na kama tunavyojulika wanyakyusa kwa uchungaji aisee anko ni mtu wa miraba minne lakini kulala na mkewe tu alikuwa anaogopa anata kulala mob na maombi juu kwake pakageuka kuwa kanisa ila sasa hivi yupo anadunda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo akawakusanya wote mumpe kampani loh nacheka kama mazuriMimi haijawai nitokea na tukikaaga vijiweni zikipigwa hizi story naonaga ni sukumia muda kipindi hicho ila ilivyokuja kumtokea mjomba ndio nikaanza kuamini maana ukoo wote ulijua bibi mbeya alipata taarifa kuwa mwanao kakutana na jini aliliwa kama kafa ndugu wote wa dar tulikwenda kujazana bunju na kama tunavyojulika wanyakyusa kwa uchungaji aisee anko ni mtu wa miraba minne lakini kulala na mkewe tu alikuwa anaogopa anata kulala mob na maombi juu kwake pakageuka kuwa kanisa ila sasa hivi yupo anadunda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....!wanakufa wa dar,wa chips na mayai halafu anataka vi3. Mikoani muda mwingine unajishangaa hivi mimi kweli? Hapo umepiga vi3 tu unajishangaa,kwa nini leo . Maximum 5. Aaaah...! Vi4,v4 humo vya kawaida kabisa. Dar unamuona njemba ametoka na demu gheto wanacheka demu anakimbia na kukimbia. Wapi hiyo? Mkoani demu anapoingia na njemba gheto huyo demu unamuonea huruma kitakachomkuta. Lazima atoke amekunja uso,halafu anachechemea
Ahahaaaa...! Miraba mi4 nae aligwaya?. Lakini unahisije angekutokea wewe huko mkoani? Si ungepiga show ya kibabe? Tena mumbalaga ntukuju mula. Kukoma imbalaga ntandatu,nu muwa lweleMimi haijawai nitokea na tukikaaga vijiweni zikipigwa hizi story naonaga ni sukumia muda kipindi hicho ila ilivyokuja kumtokea mjomba ndio nikaanza kuamini maana ukoo wote ulijua bibi mbeya alipata taarifa kuwa mwanao kakutana na jini aliliwa kama kafa ndugu wote wa dar tulikwenda kujazana bunju na kama tunavyojulika wanyakyusa kwa uchungaji aisee anko ni mtu wa miraba minne lakini kulala na mkewe tu alikuwa anaogopa anata kulala mob na maombi juu kwake pakageuka kuwa kanisa ila sasa hivi yupo anadunda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapo chumvi haijafanya kazi mkuu, hivi mtumishi akitaka kufundisha hawezi kukisoma hicho kifungu kwasababu kimepitwa na wakati au niaje, kifungu hicho kisingekuwa na maana kisingekuwepo basi hata hizo zaka wanazo toa hazitakiwi kutolewa maana ilikuwa ni kwasababu ya wakati ule, mbona kanisa Katoliki mpaka leo chumvi inatumika kanisani kwahiyo ni maigizo yale haina maana? Yesu aliacha kanisa gani hapa duniani? Sio kwamba watu kwa kutumia Roho Mtakatifu na maarifa alio wapa Mungu wanajenga sehemu za kuabudiwa, samahani huwa sipendi kubisha kisa neno la Mungu naomba kuishia hapoBoss wangu yale yalikuwa ni maji, yaani ni kama leo hii maji ya chumvi ukayawekea dawa. Kingine Elisha alikuwa ni nabii na alifanya vile Mungu alivyomfunulia hakusema ndio formula, mbona ukitenda dhambi leo hauchinji ng'ombe wala kutoa unga sijui madhabahuni ili utakaswe? Au unataka kuniambia leo hii mtu mwenye ukoma akienda Yordan anatakasika? Hapana ni kwa sababu ilikuwa ni kwaajili ya Naaman peke yake. Ukisoma hilo neno Elisha hajasema mkipata tatizo hili tena wekeni chumvi na maji yenu yatapona lakini Yesu alipokuwa anafanya miujiza alikuwa anawaambia wanafunzi wake kwamba hata wao wanaweza kufanya na zaidi ya hayo... Huenda kesho wangefanya jambo lile lile kwa tatizo lile lile kisingetokea kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa madameKwani hapo chumvi haijafanya kazi mkuu, hivi mtumishi akitaka kufundisha hawezi kukisoma hicho kifungu kwasababu kimepitwa na wakati au niaje, kifungu hicho kisingekuwa na maana kisingekuwepo basi hata hizo zaka wanazo toa hazitakiwi kutolewa maana ilikuwa ni kwasababu ya wakati ule, mbona kanisa Katoliki mpaka leo chumvi inatumika kanisani kwahiyo ni maigizo yale haina maana? Yesu aliacha kanisa gani hapa duniani? Sio kwamba watu kwa kutumia Roho Mtakatifu na maarifa alio wapa Mungu wanajenga sehemu za kuabudiwa, amahani huwa sipendi kubisha kisa neno la Mungu naomba kuishia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee wake zenu wana hali gani huko mikoani kwenu naomba kujua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....!wanakufa wa dar,wa chips na mayai halafu anataka vi3. Mikoani muda mwingine unajishangaa hivi mimi kweli? Hapo umepiga vi3 tu unajishangaa,kwa nini leo . Maximum 5. Aaaah...! Vi4,v4 humo vya kawaida kabisa. Dar unamuona njemba ametoka na demu gheto wanacheka demu anakimbia na kukimbia. Wapi hiyo? Mkoani demu anapoingia na njemba gheto huyo demu unamuonea huruma kitakachomkuta. Lazima atoke amekunja uso,halafu anachechemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Siu unajua watu waliozaliwa bara na mfumo dume ubishi ujeuri ujuaji lakini siku ile alikuwa mpole na aliokoka siku ile alikuwa haina jinsi ndugu yao tena ikabidi wakae tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo akawakusanya wote mumpe kampani loh nacheka kama mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaa...! Miraba mi4 nae aligwaya?. Lakini unahisije angekutokea wewe huko mkoani? Si ungepiga show ya kibabe? Tena mumbalaga ntukuju mula. Kukoma imbalaga ntandatu,nu muwa lwele
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha Mimi sikuwa tukuyu Mimi ni wa dar mkuu ukitaka mpigane we mkubushe tu anaona kama unazarau kuna siku nilimkumbusha nilikula Kofi aiseeAhahaaaa...! Miraba mi4 nae aligwaya?. Lakini unahisije angekutokea wewe huko mkoani? Si ungepiga show ya kibabe? Tena mumbalaga ntukuju mula. Kukoma imbalaga ntandatu,nu muwa lwele
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah...! Wake tunaenda nao mdogo mdogo. Akisema bado ndio unamgonga ile ”tsunami” yaani hiyo kama alizoea kuamka saa 12,anapitiza mpaka saa 4,ndio anaamka halafu utasikia najisikia kama nina homa homa hivi. Hapo ujue zimeninihiii hizi zingine hizi...eeeh za njano njano
Ahahaaaa...! Hapo kwenye ulikula kofi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unachezea,hawanaga masihara mkuuHahahahahaha Mimi sikuwa tukuyu Mimi ni wa dar mkuu ukitaka mpigane we mkubushe tu anaona kama unazarau kuna siku nilimkumbusha nilikula Kofi aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....!wanakufa wa dar,wa chips na mayai halafu anataka vi3. Mikoani muda mwingine unajishangaa hivi mimi kweli? Hapo umepiga vi3 tu unajishangaa,kwa nini leo . Maximum 5. Aaaah...! Vi4,v4 humo vya kawaida kabisa. Dar unamuona njemba ametoka na demu gheto wanacheka demu anakimbia na kukimbia. Wapi hiyo? Mkoani demu anapoingia na njemba gheto huyo demu unamuonea huruma kitakachomkuta. Lazima atoke amekunja uso,halafu anachechemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee binti kalale yapo na majini madume huogopi? Yenyewe yapita nyumba kwa nyumba hasa ikifika saa 5:30 hapo yanakagua mabinti mabinti walio macho mpaka muda huoo...! Weeee weeeee...! Usiombe ukakutana na jini dume la saa 5:30 lile,weeee. Kabla hujasema neno unakuta ile mnayofichia mnyonyo haipo mahala pake,mara nyonyo liko mdomoni mwake,hujakaa sawa unakuta ile mnafichie upande wa kuelekea chini kwenye kitovu kwa chini nayo iko kule nje kabisaaa...oooh...!
Haha acha kunitisha bwana...Weee binti kalale yapo na majini madume huogopi? Yenyewe yapita nyumba kwa nyumba hasa ikifika saa 5:30 hapo yanakagua mabinti mabinti walio macho mpaka muda huoo...! Weeee weeeee...! Usiombe ukakutana na jini dume la saa 5:30 lile,weeee. Kabla hujasema neno unakuta ile mnayofichia mnyonyo haipo mahala pake,mara nyonyo liko mdomoni mwake,hujakaa sawa unakuta ile mnafichie upande wa kuelekea chini kwenye kitovu kwa chini nayo iko kule nje kabisaaa...oooh...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe inatokea its realMimi haijawai nitokea na tukikaaga vijiweni zikipigwa hizi story naonaga ni sukumia muda kipindi hicho ila ilivyokuja kumtokea mjomba ndio nikaanza kuamini maana ukoo wote ulijua bibi mbeya alipata taarifa kuwa mwanao kakutana na jini aliliwa kama kafa ndugu wote wa dar tulikwenda kujazana bunju na kama tunavyojulika wanyakyusa kwa uchungaji aisee anko ni mtu wa miraba minne lakini kulala na mkewe tu alikuwa anaogopa anata kulala mob na maombi juu kwake pakageuka kuwa kanisa ila sasa hivi yupo anadunda tu
Sent using Jamii Forums mobile app