Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

ndo kanisa wanalouza damu ya yesu sahivi.?
Aiseee
 
Mkuu picha yake pls ili na sisi tusije mtongoza😎😎
 
Amina,umenena vyema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe acha mbwembwe hutakisaada watu wanakufuata pm hujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mnasema mnajua kutest mitambo? Lililompata huyu mwenzetu Liwe fundisho. Ukiwa na mtu anayesali atakulinda kwa maombi ila mnataka wanawake wanaosali ili muishi nao Kama makahaba mtaponea wapi. 😂😂😂
 
Unataka the truth sikiliza mwaya wanaotokewagwa na majini ni malaya kweli.
Kuna mtu kaniadithia jambo sio nzuri.
Kuna mkaka mahali alikuwa malaya anachezea watu siku moja ijioni mida 12:00 ijioni akapendwa na msichana mmoja mzuri mweupe yeye hajaangalia chini.
Kila akiwa anaenda naye watu wanadai mbona huyu jamaa haoni demu wake anakwato ila yule kaka akiangalia chini anaona sio kwato anaona ni viatu vyeusi virefu.
Sasa jiulize wanaelekea wapi walipokutana yule dada alidai anampenda yule msichana napia akadai anampenda ili wasicheleweshane yule dada akaja kutoa suggestion akamwambia yule kaka twende kwangu na ndio safari ikaanza .
Baada ya muda mfupi yule kaka akapelekwa kwa nyumba ya yule dada .
Yule kaka akaona nipazuri kama nini .
Sasa yule kaka akavua nguo haraka na yule dada .
Kidogo taa ikazimwa wakaendela hadi asubuhi.
Yule kaka anasimulia mida ya saa nne huku akiwa naendelea kugara gara kwa mapenzi mazuri na matamu kumbe hakuwa yupo nyumbani kwa yule dada no yupo kwenye kaburi zuri lililorembwa tena uchi.
Alizindukaje watu walikuja na mganga wao kufanya yao kwenye moja ya makaburi ya wapendwa wao.
Ndio wakamwona wakaanza kumuamsha awaeleze kulikoni yupo kaburini uchi.
Ndio alipoamka akaelezea nini kilichomtokea nguo zake zilikutwa sehemu tofauti boxer na suruali ipo kwenye msalaba umetundikwaa.
Halafu fulana na shati limekutwa juu ya kamti .
So akavaa kwa aibu kaaondoka bila kuaga.
So wanaume becareful huu umalaya wenu mtalala siku moja na wanyonya damu.
Nimewasilisha.
 
Hivi hii imeishia sehemu ya tatu tu au kuna ya nne ?
 
Hakuna majini [kama yapo, nirushieni mimi].

Hakuna mashetani.

Hakuna uchawi.

Hayo ni maruerue [hallucinations] tu.

Maruerue ni moja ya dalili za ugonjwa wa akili.

You are seeing and hearing things.

Seek a shrink’s help.
Hujawahi kumuona mtu anajibizana na mtu na humuoni au kufanya vitendo ambavyo wewe huviwezi? kama kujibamiza chini kwa nguvu
 

Kwa hiyo watu wa daresalam wanakula biscuit na soda? Sasa hayo magimbi, viazi, mihogo na mazao mengine mnayolima huko unakoita mkoani, mnapoyakimbiza mbio mbio kuyaleta daresalam wanakula ng’ombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…