Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nishawahi kuona. Na ndo wendawazimu wenyewe huo. Ugonjwa wa akili.
Nimekuelewa.

Nna ndugu yangu pia hapati madhara ya wachawi mashamba ya waganga na wachawi anaiba tu vijiweni zikija stori za kichawi anawatukana kabsaa na kuwataka wamloge.
 
Nimekuelewa.

Nna ndugu yangu pia hapati madhara ya wachawi mashamba ya waganga na wachawi anaiba tu vijiweni zikija stori za kichawi anawatukana kabsaa na kuwataka wamloge.

Hahahaa! Same here.

Uchawi haupo. Watu huwa wanatishana tu.

Ila nimegundua kuwa uwezo wa mtu wa ku imagine mambo una nguvu sana.

Maana mtu anaweza aka imagine mambo kichwani mwake halafu akajishawishi kuwa hicho anacho ki imagine ndo ukweli, ndo uhalisia. Kumbe ni cha kufikirika tu.

Ndo na uchawi uko hivyo hivyo. Ni mambo ya kufikirika tu yasiyo na uhalisia wowote ule.

UCHAWI HAUPO!
 
Vipi ile ya kujikuta upo juu ya mti asubuhi au makaburini.
Ukijikuta huko itakua mawazo ndo yamekupeleka?
 
Vipi ile ya kujikuta upo juu ya mti asubuhi au makaburini.
Ukijikuta huko itakua mawazo ndo yamekupeleka?

Ushawahi kushuhudia au huwa unasimuliwa hadithi za kufikirika tu?

Pia kuna watu huwa wana sleep walk...vipi kama mtu ka sleep walk akaishia makaburini?

Uchawi haupo
 
Ushawahi kushuhudia au huwa unasimuliwa hadithi za kufikirika tu?

Pia kuna watu huwa wana sleep walk...vipi kama mtu ka sleep walk akaishia makaburini?

Uchawi haupo
Ha ha haa hadithi ila unaipata kwa mshakaji wako anakuambia kashudia au ndugu yake lilimpata utakosa kumuamini?
Hapa kuna fundi alikua cha pombe mnoo kaacha baada ya kuwaropokea wachawi wakamfanyia kweli katuhadithia hapa yeyw ndo mhusika.
 
Kwa hiyo watu wa daresalam wanakula biscuit na soda? Sasa hayo magimbi, viazi, mihogo na mazao mengine mnayolima huko unakoita mkoani, mnapoyakimbiza mbio mbio kuyaleta daresalam wanakula ng’ombe?
Tunazikimbizia kwa Bakhresa. Yeye anavibadirisha vinakuwa biscuit za kula watu wa dar. Nyie kuleni na biscuit na wale kuku wanataga mayai kutwa mara 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha haa hadithi ila unaipata kwa mshakaji wako anakuambia kashudia au ndugu yake lilimpata utakosa kumuamini?
Hapa kuna fundi alikua cha pombe mnoo kaacha baada ya kuwaropokea wachawi wakamfanyia kweli katuhadithia hapa yeyw ndo mhusika.

Hamna lolote bana! Uchawi haupo.

Kama upo, mimi ofa yangu kwao iko palepale. Waniroge tuone...
 
Kuna jamaa pale juu kampa tahadhali kamwambia usiendelee tena kuleta huu uzi humu,maana utamuudhi zaidi jini. Na miss jini ana ID yake humu,chochote anachosema anakisoma na anachangia,baadae anampa adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et anampa adhabu

Na test mitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…