KIBEBA BEBEA
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 244
- 284
Jamaa kapewa masharti makali anaogopa!!!Hivi hii imeishia sehemu ya tatu tu au kuna ya nne ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kapewa masharti makali anaogopa!!!Hivi hii imeishia sehemu ya tatu tu au kuna ya nne ?
Nimekuelewa.Nishawahi kuona. Na ndo wendawazimu wenyewe huo. Ugonjwa wa akili.
Nimekuelewa.
Nna ndugu yangu pia hapati madhara ya wachawi mashamba ya waganga na wachawi anaiba tu vijiweni zikija stori za kichawi anawatukana kabsaa na kuwataka wamloge.
Vipi ile ya kujikuta upo juu ya mti asubuhi au makaburini.Hahahaa! Same here.
Uchawi haupo. Watu huwa wanatishana tu.
Ila nimegundua kuwa uwezo wa mtu wa ku imagine mambo una nguvu sana.
Maana mtu anaweza aka imagine mambo kichwani mwake halafu akajishawishi kuwa hicho anacho ki imagine ndo ukweli, ndo uhalisia. Kumbe ni cha kufikirika tu.
Ndo na uchawi uko hivyo hivyo. Ni mambo ya kufikirika tu yasiyo na uhalisia wowote ule.
UCHAWI HAUPO!
Vipi ile ya kujikuta upo juu ya mti asubuhi au makaburini.
Ukijikuta huko itakua mawazo ndo yamekupeleka?
Uenda Kuna ukweliiiii
Ha ha haa hadithi ila unaipata kwa mshakaji wako anakuambia kashudia au ndugu yake lilimpata utakosa kumuamini?Ushawahi kushuhudia au huwa unasimuliwa hadithi za kufikirika tu?
Pia kuna watu huwa wana sleep walk...vipi kama mtu ka sleep walk akaishia makaburini?
Uchawi haupo
Tunazikimbizia kwa Bakhresa. Yeye anavibadirisha vinakuwa biscuit za kula watu wa dar. Nyie kuleni na biscuit na wale kuku wanataga mayai kutwa mara 7Kwa hiyo watu wa daresalam wanakula biscuit na soda? Sasa hayo magimbi, viazi, mihogo na mazao mengine mnayolima huko unakoita mkoani, mnapoyakimbiza mbio mbio kuyaleta daresalam wanakula ng’ombe?
Ha ha haa hadithi ila unaipata kwa mshakaji wako anakuambia kashudia au ndugu yake lilimpata utakosa kumuamini?
Hapa kuna fundi alikua cha pombe mnoo kaacha baada ya kuwaropokea wachawi wakamfanyia kweli katuhadithia hapa yeyw ndo mhusika.
Kuna jamaa pale juu kampa tahadhali kamwambia usiendelee tena kuleta huu uzi humu,maana utamuudhi zaidi jini. Na miss jini ana ID yake humu,chochote anachosema anakisoma na anachangia,baadae anampa adhabuUenda Kuna ukweliiiii
Sent using my phone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] et anampa adhabuKuna jamaa pale juu kampa tahadhali kamwambia usiendelee tena kuleta huu uzi humu,maana utamuudhi zaidi jini. Na miss jini ana ID yake humu,chochote anachosema anakisoma na anachangia,baadae anampa adhabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro Nyani we tulia tu na sikuombei yakukute ila siku yakikukuta utasimulia....Ushawahi kushuhudia au huwa unasimuliwa hadithi za kufikirika tu?
Pia kuna watu huwa wana sleep walk...vipi kama mtu ka sleep walk akaishia makaburini?
Uchawi haupo
Bro Nyani we tulia tu na sikuombei yakukute ila siku yakikukuta utasimulia....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uchawi ndugu yangu.
Haupo kabisa na ndo maana najiamini.
One day naamini utauona hahahaUshawahi kushuhudia au huwa unasimuliwa hadithi za kufikirika tu?
Pia kuna watu huwa wana sleep walk...vipi kama mtu ka sleep walk akaishia makaburini?
Uchawi haupo
Unaweza ukawa unajitamba hivyo kumbe ulishafanyiwa matambiko huko ikungulyabashashiHamna lolote bana! Uchawi haupo.
Kama upo, mimi ofa yangu kwao iko palepale. Waniroge tuone...