Mkorintho wa 6
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 270
- 427
Kuku wanataga kama. Mgonjwa wa kuharisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunazikimbizia kwa Bakhresa. Yeye anavibadirisha vinakuwa biscuit za kula watu wa dar. Nyie kuleni na biscuit na wale kuku wanataga mayai kutwa mara 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Story zingine sio za kuzileta usiku jamani
Labda aliposimulia humu nakuomba ushauri yule jini kasanuka kamnyonya damu au kamtoweshaHivi hii imeishia sehemu ya tatu tu au kuna ya nne ?
Kwa hiyo wale vichaa tunawaona wanaongea peke yao mtaani kumbe wanajibizana na majini?Hujawahi kumuona mtu anajibizana na mtu na humuoni au kufanya vitendo ambavyo wewe huviwezi? kama kujibamiza chini kwa nguvu
Haah! Haah! Upo nae ghetto katikati ya game mara anageuka Fungo, Fisi 🤣🤣🤣Yapo,mzee utahama utatamani lije daily,tatizo yanageukageuka sura! Mara mdudu mara mnyama usiombe mkuu unaweza kukurupuka ukatoka nje mbio uchukue ukishtuka.
Acha tu
Lakini hakusema nikatongoza right???
Njemba zinaangalia uwepo wa Papuchi tu hata ubadilike uwe chatu watu wanapiga kazi tu😁
Pole Sana nimepitia haya Mambo Sana Kama hautojali ni pmNafikir ww unaweza kunielewa Ni kitu gani nazungumzia Ni wiki mbili tu, ila mambo ninayo kutana nayo...sijapata kuona maishani mwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi simucheleweshiWanaume wa Dar mnazidi kututia aibu, jini anavuka kwa kupanda panton? Huyo manzi ana ugwadu kamata piga mashine ya maana atakueleza tu mtaa anaokaa.
Mwanao hajambo?
Hahaha mkuu nimecheka sana eti hata ubadilike chatu mradi papuchi ipoNjemba zinaangalia uwepo wa Papuchi tu hata ubadilike uwe chatu watu wanapiga kazi tu[emoji16]
Ooh ok..!! labda inawezekana..Jamaa kaweka Imoj za kucheka mpaka machozi ndo sikumwelewa hapo nikajua hii chai ya leo ni kama muvi ya kihindi Ina pilipili nyingi sanaKicheko cha huzuni pengineana kuna wakati unaweza ukawa unacheka Kumbe unashangaaaa yanayokukuta(naamini hivyo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Wewe!!! Si wanajigeuzaga watu? Mbona alienda Dukani.Nasikia wanajigeuza na kufanya ya binadamu kama kuvuka pantoni au kuvuka mtoWanaume wa Dar mnazidi kututia aibu, jini anavuka kwa kupanda panton? Huyo manzi ana ugwadu kamata piga mashine ya maana atakueleza tu mtaa anaokaa.
Kote kote mkuu