Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Wanaume wa Dar mnazidi kututia aibu, jini anavuka kwa kupanda panton? Huyo manzi ana ugwadu kamata piga mashine ya maana atakueleza tu mtaa anaokaa.
 
Hujawahi kumuona mtu anajibizana na mtu na humuoni au kufanya vitendo ambavyo wewe huviwezi? kama kujibamiza chini kwa nguvu
Kwa hiyo wale vichaa tunawaona wanaongea peke yao mtaani kumbe wanajibizana na majini?
 
Yapo,mzee utahama utatamani lije daily,tatizo yanageukageuka sura! Mara mdudu mara mnyama usiombe mkuu unaweza kukurupuka ukatoka nje mbio uchukue ukishtuka.
Acha tu
Haah! Haah! Upo nae ghetto katikati ya game mara anageuka Fungo, Fisi 🤣🤣🤣
 
Kicheko cha huzuni pengineana kuna wakati unaweza ukawa unacheka Kumbe unashangaaaa yanayokukuta(naamini hivyo)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh ok..!! labda inawezekana..Jamaa kaweka Imoj za kucheka mpaka machozi ndo sikumwelewa hapo nikajua hii chai ya leo ni kama muvi ya kihindi Ina pilipili nyingi sana
 
Back
Top Bottom