Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

rey makore....
 
Aisee pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee! Pole sana Mkuu,funga na kuomba bila kuchoka,ukimlilia Mungu akuokoe na janga hili.Hakuna nguvu nyingine chini ya jua
 
Habari za muda huu wanajamvi.

Kipekee nipende kumshukuru Mungu wa wingi wa rehema na upendo ukubwa alio uonesha kwangu.

Kiukweli..nilikuwa katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu pamoja na Familia yangu kwa ujumla.
Tatizo nililokuwa nalo halikuwa dogo, ingawaje wengi walibeza wakiamini ni story tu ya kutunga. Hapana, labda niseme kitu kimoja....katika maisha yangu sikuwahi kuwa karibu na Mungu kama nilivyokuwa kipindi hiki Cha haya matatizo. Nimejua vitu vingi kuhusiana na ulimwengu wa roho....hivi vitu vipo na tunaishi navyo, siku Mungu akinijalia uzima nitakuwa nuvielezee kwa mapana yake.
Hii dunia tunaishi kwa kusudi la Mungu...shetani anatuwinda kila kukicha ili aweze kutuangamizi. Hakuna jini mzuri (pepo) kama watu wasemavyo...majini wote ni wabaya(waharibifu) wapo kwa ajili ya mpango wa shetani, inatambulika wazi shetani hana jema kwa mwanadamu,...anaweza akaja kwa namna nzuri lakini ndani ana malengo mabaya juu yako. Na vitu hivi (majini/pepo) vinamfwata mtu mwenye nguvu/ imara maana vinajua kupitia yeye vinaweza kuangusha kundi kubwa la watu nyuma yake.
Kama mnakumbuka niliwahi waambia mm ndio msaada/tegemezi kwenye familia yangu...wadogo zangu wamesoma na kuishi kupitia Mimi, hivyo...jini alienifata alikuja kuangamiza familia na si mimi peke yangu.
Namshukuru Mungu Sana sana kwa kupitia watumishi wake ameweza kuninasua kwenye vifungo vizito sana vilivyofungwa kuzimu na duniani...juu yangu na familia yangu.

Ndugu zangu...msaada pekee katika dunia hii ni Mungu...msijidanganye kwa vyeo, Mali, rangi, nguvu au chochote mlichonacho Muda na saa yoyote shetani anaweza kuviharibu kama Mungu hatokua ndani yako. Sasa hivi ni Mzima na salama mimi na familia yangu.
Pia niwaombe radhi kwa wale niliowakwaza kwa namna yoyote ile kuanzia mwanzo mpk mwisho wa thread hii Mungu awabariki Sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kweli unaumwa wewe??? Uko kwenye maombi??? Na haya majibu??? Seriously??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story za kishigongo hizi, hii ni ya kutunga kabisa 100%

Anyway, ww mwanaume una roho ya uoga uoga hivyo utaishi wapi? Na kamwe hutaona maendeleo..

Ushauri: Mwanaume unatakiwa kuwa na roho na moyo mgumu kuliko shetani, huwaga hata shetani akijua mwanaume una roho na moyo mgumu kuliko yeye anakimbia kufa kupona, mm siamini dini sana wala ushirikina hata kidogo, ingawa najua upo..
Ingekuwa mm, wala singemjibu huyo dada vibaya, ningemuomba tuonane sehemu tuwe wawili, i swear atakuwa nyamafu in seconds, tena jioni jioni hv, namtoa kabisa duniani, i swear again, in pieces, sitanii, ukuda sifanyi mm, hata aje na nani, namtoa shingo paaap, yaani akipona hapo kwa bahati sijui nisemeje, atakimbia kufa asijue pa kwenda, na labda akibahatika kupona navyosema, namtumia tena sms nzuri na cool naomba tuonane basi mbona ulikimbia jamani, yaani hataona what happened, shetani kabisa huyo, wallaah naapa, ole wake..👺😠🔫🔪🗿 napiga vibaya uuuh..!!
 
Aisee haya matukio tena kwa watu wa biashara sina shaka sana kukumbwa na mikasa ya namna hii. Kama hii story ni ya kweli na sahihi basi vijana tuwe makini sana katika hustle zetu na la msingi tuwe na standard za kimaisha. Kuendekeza starehe au anasa fulani mf, mapenzi na pombe kwa ujumla tamaa zisizo na msingi huwa zinatupeleka kwenye ukaribu na mambo kama haya. Let's focus on our goals and ambitions respectively haya mengine tuyape asilimia ndogo sana hata kupata matatizo inakuwa kwa nadra au impact kuwa ndogo kabisa. Poleni sana mnaopitia na hizi situations in real sense.
 
Nimekuhurumia sana , msaada wako uko kwa kwenye maombi
Ukienda kwa waganga ndio utapotea kabisa
 
Nimecheka na kusisimuka kwa uoga. Hii kitu sikia tu kwa mwenzako, usiombe yakukute unaweza kuflat.

Poleni sana wandugu mmliokumbwa na hili dhahama.....kikubwa dua tu, everything gonna be okey.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
PM me namba yako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…