Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Ha ha ha kuna watu mnavichekesho sana. Sasa jini atalibadilisha vipi?
 
Mkuu ulifanikisha ??
 
Nipe tag mkuu Kama umeshasimulia icho kisa chako nijifunze jambo
 
Hii story inakuja zaidi ya mala kadhaaa Humu,kuna mdau alishawahi iweka humu
 
puker Kama bado hujapata utatuzi wa shida yako fika Vuka Yordani, Ngaramtoni, Arusha kwa Askofu Elibariki Sumbe. Nakuhakikishia utafunguliwa na utakuwa huru. Huduma zote za maombezi na kufunguliwa zinatolewa bure kwa ajili ya utukufu wa Mungu pekee.
Ahsante sana kwa kunijali rafiki[emoji120] Kwa Kupitia hayo hayo maombi nimeponea kwenye mdomo wa simba. Haikuwa kazi ndogo, Nitakuja nieleze hapa ilivyokuwa.
 
Hayo majini nafikiri yanaangalia na vichwa vikiona kichwa boya ndo yanakufata! Anyway ahsante kwa chai mkuu imefanya weekend imekwenda swafi kabisa..😅
 
Ha ha ha kuna watu mnavichekesho sana. Sasa jini atalibadilisha vipi?
Waone wataalam ni kazi ndogo sana.utaliamrisha likome!
Kimwili na kiroho, jini hana nguvu ya kumshinda mwanadamu. Ni viumbe wadogo sana.but mkiwaogopa mnawapa nguvu tena wanafurahi mtu mzima unavo babaika.
 
Nadhani mimi nina mambo mazito kuliko yenu, nashindwaga tu kuyaelezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…