Mkuu tuelezee kidogo chanzo ilikuaje plzMimi haijawai nitokea na tukikaaga vijiweni zikipigwa hizi story naonaga ni sukumia muda kipindi hicho ila ilivyokuja kumtokea mjomba ndio nikaanza kuamini maana ukoo wote ulijua bibi mbeya alipata taarifa kuwa mwanao kakutana na jini aliliwa kama kafa ndugu wote wa dar tulikwenda kujazana bunju na kama tunavyojulika wanyakyusa kwa uchungaji aisee anko ni mtu wa miraba minne lakini kulala na mkewe tu alikuwa anaogopa anata kulala mob na maombi juu kwake pakageuka kuwa kanisa ila sasa hivi yupo anadunda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hadithia kisa chako vijana tujue namna ya kukabili hizi changamoto hata zikitokea tujue kuna wenzetu pia walipitiaHapana hamtonielewa, nimejaribu kuwaelezea watu wengi lakin wakaona kama nimerukwa na akili, lakin naamin muda ni jibu jema, ngoja nione itakuwaje.
Hilo ni jini mahaba. Usipofanyia kazi hiyo hali hutakaa use kamwe!Mi kuna demu mmoja huwa namuota namgegeda mara kwa mara japo siyo mara nyingi lakin sura yake imekua ikijirudia kwenye ndoto kwa siku tofaut tofaut nikimgegeda..
Kinacho nipa hofu hata nikipenda demu mwngine wa mtaani nikimtongoza akinikubalia baada ya hapo nakua naanza kumchukia bila sababu, sitaman kuonana nae hata mawasiliano nae akinitafuta naweza nispokee simu bila sababu.
Yani kwa kifupi napata bahat ya mademu wanao nipenda Sana ila nikiwa kweny mahusiano nakua na hofu na Sina raha kabisaa had niachane nae ndo napata amani.. Kuna mtu nilimshirikisha akaniambia kuwa Hilo ni jini
Oy mapenzi yako na jini yanaendeleaje?@mkushiwajani
Comment bora zaidi.
Ahsante rafikiComment bora zaidi.
Amnaaa nilikutana na mwamba nyoka akanibana ....bahati nzuri mwenyewe Nina damu ya kibabe haikunisumbua sana niliwahi hospital niko vizuri kama sijapatwa na kitu vile
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ Mapendo Diama.Ahsante rafiki
Vip lakini yamekwisha au bado unapitia mtihanKwenye mambo ya giza ni vigumu kueleweka Labda kama unao Waadithia Waliwahi Kukutana nayo. Hata mm nilikuwa naona ni Kama Hadithi za Abunuasi mpaka yaliponikuta.
Mungu mkubwa mkuu [emoji16] tupatie hitimisho la huyo kiumbeNipo boss [emoji1787]