Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Jamani eeeh samahani sana kwa kupachika swali nje ya mada,

Ni kwamba pm yangu inaonyesha kuna SMS tatu,lakini nikifungua inaniambia empty msg hii naitatuaje niweze kusoma SMS zangu!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo ujue PM zimetumwa na majini. Ili kuweza kuisoma nenda kale kitimoto nusu kilo. Isirostiwe...
 
Mnapoteza muda na uzi huu kumzungumzia gudume... Ashamwaga upupu then kaishia zake.jamaa ana play with people's mind.vyovyote iwavyo sometime huwa simwelewi nia yake nini. So tujadili issue ya jamaa huyu na kisa chake.kumwongelea gudume ni kutimiza hitaji lake kuchafua tu akili za watu then anakaa anatusanifu.ndo maana hata mu mtag au kumsema vipi hajibu.ana enjoy sana.ana sababu zake bila shaka.
 
Hapana brother sina uhusiano wowote na mtoa mada, kiasi fulani nina mashaka na uhitaji wake wa msaada na ndiyo maana nikajitolea katoni za maji badala ya pesa ili nione uhitaji wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Makengeza yangu yamenicheza, pitisha hayo maji kwangu tupeleke wote kwa mgonjwa wa majini yanayotoa pesa kambi ya maombezi
 
Ni wapi ukishaniona nikishabikia wanawake wakizalilishwa humu aisee ndo naona kwako, tena mie hata vigroup vya wanawake ku kutiona huwa sipendi kabisa. Na sijui jambo la wanawake kuzalilishwa humu tena huwa sipendi kabisa had hugombana na wanaume kwa kuniona mkorofi kisa kutetea wanawake mhhhhhh I wonder ur allegations to me. Something new.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa nasema wewe na espy huwa hampendi kuona nyuzi za kudhalilisha wanawake nawapa big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wanajamvi, nimekuwa nikisoma comment zenu moja baada ya nyingine nilichogundua ni kitu kimoja, mliowengi humu hamna uhuru wa fikra, wengi mnatumia fikra za watu wengine kufanya maamuzi (si kwa ubaya).
Najitahidi kutumia hekima Sana katika Jambo hili maana naamini kabisa, hili ni tatizo langu lisije kuwa sababu za kuvuruga wengine. Naamini kabisa wapo wachache wenye mawazo mbadala ila inakuwa vigumu kuwasilisha hoja na hisia zao kwa sababu, hoja iliyoshika hatamu ni UTAPELI. Inawezekana kabisa mtiriko wangu wa thread unaonekana wa kitapeli au unafanana na thread's za watu waliowahi kufanya utapeli humu.

Swali je, nimekuja specifically kwa mtu kuomba msaada? Je kuna sehemu nimeonesha lawama juu ya kutokusaidiwa, ndugu zangu ni vile nipo kwenye matatizo tapeli hanyenyekei ila anashawishi ili kushika hisia zako.
Fatilieni uzi wangu vizur kama kuna sehemu nimezungumza kuwa maduka yangu yapo kariakoo? Au kuna sehemu nimesema wanamaombi wanafanyia maombi nyumbani kwangu! Ni vibaya sana kuchangia kitu kwa kufwata (Mzuka) au mihemko. Unatakiwa kuwaza kwa mujibu wa utashi wako uliobarikiwa na Mungu.
Ni nani aliwah kukwambia kisemwacho na wengi ndio sahihi? Jifunze kutoka katika huo mtazamo, maana utakosa mengi dunia ya Leo, sijasema kila kisemwacho na wengi ni batili lahasha ila unatakiwa kuwaza kwa akili zako nje ya box. Huyo mnaemuona kila asemacho ni sahihi..kwa tafsiri ya kawaida tu, yy ndio mwenye upeo mkubwa wa kufikir mambo kwa haraka kuliko Mw ngine, Je ni kweli? Jibu unalo, sasa hv anasheherekea kwa alichoplane kimefanikiwa. Mmemuona akichangia chochote tangu uzi huu uanze? Mnajua alikuwa anafiiria Nini? ( Ana hofu mm sijaja kufanya kazi anayoifanya yy humu). Wenye kuwaza vizuri, wamejua nazungumzia Nini. Ipo siku mtanishuhudia hili akiweza kuteka akili za watu wengi kwa kiwango anachokitarajia, basi yy ndie atakuwa Tapeli mkubwa kabisa kuwahi kutokea nchi hii. Maana akiamua kuanzisha jambo anajua 75% ya waliomo humu watamuunga mkono. Nashukuru kwa Michango kwa wale walioguswa, hata kwa wale walionishauri na kunitia moyo Mungu awabariki Sana , muda ufika nitaweka kila kitu bayana hapa jukwaani. Niwatakie usiku mwema. Msichoke kuniombea wapendwa.

Swali dogo tu

Mbona Gudume alileta uzi wa Matapeli akakuhusisha na uzi wako wa kuomba msaada ambao ulikuja baada ya uzi wa Gudume?

Gudume alijuaje utakuja na uzi wa kuomba msaada?
 
Una I'd ngapi humu ujue umejizalilisha mno hahaaaaa

Back
Top Bottom