😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!Akili kubwazGia namba moja ngumu sana kuitumia
Ndio wamekuchunguza na wamepatia kwamba kweli uko JF,lakini the bottomline is umewavutia.Dada tulioko JF pia ni watu.Leo nilikuwa katika mizunguko yangu ya hapa na pale humu jijini Dar,katika kipindi hiki cha mapumziko
Lakini alasiri hii nikiwa duka moja huku kawe kuna wanaume wawili wamenifuata wakiniambia wananifananisha,wanaomba tufahamiane vizuri
Nikawambia mnahisi mmewahi kuniona wapi,wamedai Jf,nimewambia hamna mtakuwa mnanifananisha,nikaita Tax nikaondoka
Kumbe wanaume wa humu wako vizuri katika kumchunguza mtu
Acha uhuni 🙂 🙂Hapo kwenye avatar kama ni wewe; ngoja nije pm nami nikufananishe.