Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji28]Ukaita tax?...sidhani kama TRA wanahuduma za kuita tax.
Ulivyoita tax ukaenda kulipia?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji28]Ukaita tax?...sidhani kama TRA wanahuduma za kuita tax.
Ulivyoita tax ukaenda kulipia?!
mwenzako nakuelewa ujue..Leo nilikuwa katika mizunguko yangu ya hapa na pale humu jijini Dar,katika kipindi hiki cha mapumziko
Lakini alasiri hii nikiwa duka moja huku kawe kuna wanaume wawili wamenifuata wakiniambia wananifananisha,wanaomba tufahamiane vizuri
Nikawambia mnahisi mmewahi kuniona wapi,wamedai Jf,nimewambia hamna mtakuwa mnanifananisha,nikaita Tax nikaondoka
Kumbe wanaume wa humu wako vizuri katika kumchunguza mtu
Nimekufananisha agata edwardAcha uhuni 🙂 🙂
[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji28]
[emoji4][emoji4][emoji4]I miss you