Nimekutana na “my soulmate” nikiwa nimeshaoa



Kula hekima za Mbaga Jr
 
Kaka mzuri, you better not!
 
Huyo soulmate sijui umemkuta ni mpya? yaani ametumika akaachika ndo ujifanye amekuwa soulmate Akili zimo kweli, hujiulizi kama ni hot kwanini hajaolewa? tumia ubongo acha kwenda na mihemko
 
Kubaliana
Kubaliana na mimi kwanza wanaume tunaendeshwa na tamaa za muda mfupi huyo ulofikia hatua ya kumuoa sio kwa bahati mbaya ni kwamba ulipima vitu vingi ukitoa sura na umbo nazungumzia maisha kwa ujumla sasa inshu ni moja tu jichanganye
 
 

Attachments

  • 20240524_130550.jpg
    14.1 KB · Views: 3
Nilivyofika hapo kwenye superhandsome nikaacha kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…