Superficial
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 232
- 471
Ukongwe wote huo bado huna solumetiUlipomuoa ulikuwa unafahamu kuwa siyo “soulmate” wako? Au ulilazimishwa?
Maana usikute umewehushwa tu na huyo mpya ndo useme soulmate.
Kwani nini kinafanya watu wawe “soulmates”?