Nimekutana na “my soulmate” nikiwa nimeshaoa

Nimekutana na “my soulmate” nikiwa nimeshaoa

Ulipomuoa ulikuwa unafahamu kuwa siyo “soulmate” wako? Au ulilazimishwa?

Maana usikute umewehushwa tu na huyo mpya ndo useme soulmate.

Kwani nini kinafanya watu wawe “soulmates”?
Ukongwe wote huo bado huna solumeti
 
Back
Top Bottom