Hatakama ukimsemesha hakuna msahada hapoWakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu .
NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini uku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo
Nika imagine maumivu anayopitia uyo ngombe je waliomfikisha hapo mbona hawakumjali kumpatia huduma ya kwanza au kumchinja ili kuepuka maumivu anayojisikia
Nika relate na maisha halisia mfano wewe binadamu umevunjika mguu porini huwezi kuomba msaada mtu yeyote Wala hakuna mtu karibu then anapita ngombe ? Hutotaka kumsemesha kweli?
LIFE HAS NO CREAL MEANING
Umekuja vizuri, lakini hitimisho lako halina mantiki kabisa. Ni kama tangu zamani ulikuwa katika hekaheka za kusaka visababi (visingizio) vya kulaani maisha, sasa leo uko kama vile umeipata mojawapo.LIFE HAS NO CREAL MEANING
Tupatie ushahidi wa pichaWakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu .
NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini uku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo
Nika imagine maumivu anayopitia uyo ngombe je waliomfikisha hapo mbona hawakumjali kumpatia huduma ya kwanza au kumchinja ili kuepuka maumivu anayojisikia
Nika relate na maisha halisia mfano wewe binadamu umevunjika mguu porini huwezi kuomba msaada mtu yeyote Wala hakuna mtu karibu then anapita ngombe ? Hutotaka kumsemesha kweli?
LIFE HAS NO CREAL MEANING
sawa kontenti krieta.Fuata content
Pole mkuuWakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu .
NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini uku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo
Nika imagine maumivu anayopitia uyo ngombe je waliomfikisha hapo mbona hawakumjali kumpatia huduma ya kwanza au kumchinja ili kuepuka maumivu anayojisikia
Nika relate na maisha halisia mfano wewe binadamu umevunjika mguu porini huwezi kuomba msaada mtu yeyote Wala hakuna mtu karibu then anapita ngombe ? Hutotaka kumsemesha kweli?
LIFE HAS NO CREAL MEANING
Unalaumu ng'ombe kutokupewa huduma ya kwanza Je, wewe kama wewe umetoa huduma ipi au umemsaidiaje huyo ng'ombe. Au wewe ni wale wale unaona mtu anapata changamoto barabarani unaishia kupiga picha na kukimbilia jamii forum kupostWakati natoka home kuelekea kuangalia mpira nikapitia maeneo ya machinjioni mtaani kwetu .
NIMEKUTANA na ngombe mnyama akiwa amelala chini uku akiwa amevunjika mguu wa nyuma mfupa uko nje nilistuka sana infacts sijawahi shuhudia live binadamu akiwa katika Hali iyo
Nika imagine maumivu anayopitia uyo ngombe je waliomfikisha hapo mbona hawakumjali kumpatia huduma ya kwanza au kumchinja ili kuepuka maumivu anayojisikia
Nika relate na maisha halisia mfano wewe binadamu umevunjika mguu porini huwezi kuomba msaada mtu yeyote Wala hakuna mtu karibu then anapita ngombe ? Hutotaka kumsemesha kweli?
LIFE HAS NO CREAL MEANING
Mfupa ulikuwa njeUna uhakika gani kama alivunjika mguu!? unajua wanyama nao Wana akili ya kujiokoa kwa kufake tukio ili aepukane na kifo..hiyo michezo mbwa anaifanya sana utaona anaburuza miguu ya nyuma unaweza ukamuonea huruma kumbe anaku zoom tu