THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Hamjambo ndugu Watanzania
Siku Tano nyuma nilienda pale shekilango kukata tiketi ya kwenda mbeya. Nimejisogeza mbaka ofisi za bus la Sauli nimeona wamefunga maana nisha zoea kupanda Sauli nikaamua kuuliza wadau wakaniambia bus za Sauli hazipo siku hizi basi bwana.
Kuna mdau mmoja akaniambia kama unaenda mbeya panda achimwene, nikamuuliza ofisi zao zipo wapi akaniambia sogea kama ofisi tatu hivi utakuta ofisi ya achimwene. Nikatembea hatua chache tu naona Bango limeandikwa achimwene safari nikazama ofisini kwao nikatoa salamu kwa muhudumu mkata tiketi.
Basi bwana muhudumu akaniambia unataka bus la asubuhi au jioni nikamwambia lenyewe unaona litakuwa Bomba nikatie mhudumu akaniambia kata la jioni itakuwa Bomba sana basi nikamwambia bei gani akanitajia bei nikalipia huyo kurudi hostel za chuo maana kesho yake nilikuwa nasepa zangu.
Siku ya safari nimepanda pale pale Shekilango mida ya jioni Ile napanda bus naona siti ya mbele wamekaa warembo nikatamani nikae na wale warembo nasogea Ili nitafute siti yangu naona karibu bus Zima wametawala warembo nikahisi au nimekosea bus nini sio kwa warembo wale niliowaona, labda wamekodisha basi.
Mdogo mdogo nikatafuta siti nilio kata ilikuwa dirishani Ile nimefika siti yangu nakuta wapembeni yangu hayupo basi nikakaa zangu huku nikiomba siti ya pembeni yangu awe pisi mida hio ndo bus likawa lina hamsha kuelekea Mbezi, tumefika mbezi abiria wengine wakawa wanaingia.
Ile natupia jicho stendi naona warembo watatu wanakuja upande wa bus niliopanda nikahisi labda mmoja wao atapanda bus naona warembo wote wanazama kwenye bus mmoja wawale warembo naona anakuja kukaa siti ya pembeni yangu naona anasepa careen siti yako ipo huku Ile kutazama mbele naona pisi ni namba E pisi shepu sinia kiuno kijiko color ya chocolate pisi mda wote ina small. Nitarudi ngoja Nipige pasi shati la kesho field
SAMAHANI KWA UANDISHI MBOVU SISI MAENGINEERING NI HISABATI TUMEZOEA