Nimekutana nae.........

Chomekea vizuri shati safi, then panga mabunda ya noti za tzs 10,000 zungusha kiuno kizima nakuambia hachomoki hapo

umenichekesha mpaka nimeanguka.
 
Pole sana lakini ni vzr ukamwambia ukweli.
 
Duh, mi yeyote type yangu, awe kama JLO or awe kama MwaJuma chupi kubwa.:majani7:
 
Chomekea vizuri shati safi, then panga mabunda ya noti za tzs 10,000 zungusha kiuno kizima nakuambia hachomoki hapo

lol mkuu mbavu zetu hatujakatia bima bana......................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…